Текстов песен в базе: 1 277 465
Na Bado (Thursday)

Na Bado (Thursday)

H_art The Band Nyashinski

Текст песни

Fungulia TV
Uone vijana wako wakifanya mambo ndani ya mitambo mama
Sauti tamu kwenye radio
Nimefika hapa juu ya maombi yako
Hata kama sijafika niendako
I know I’m on my way
Napenda ukitabasam
I hope I make you even prouder
Na uzidishiwe afya uone nikivuka border
And as I get older you can lean on my shoulder
Umenifunza mengi
I remember when you told me
Don’t you let nobody ever change who you are
So I keep running hata nikianguka
Straight out of heaven Malaika
Upendo wako haujawaibadilika
You said take your time why you always in a hurry
Be a star let it shine tell your story
You’re a ten over ten you should know that
Hawanioni vile unavyoniona
Mama I’m gonna conquer the world with my guitar
Na Bado, Na Bado
Mama najua siku moja nitakua Star
Na Bado, Na Bado
I will be your Star
Truth or dare uko ready
Life si fair already
Tukicompare kwenda Uni au kua millionaire na dreadi
Utajiambia hii moja haikui
Passion haitawaipay
Si uache ball hautawaikua Messi
Hata ujitolee haiwezi
So niambieni ka madreamer world ingeonaje mapenzi
Na unapimaje wazimu kujua dream yangu ni crazy
Just needed someone to believe in me
I’m living to be more than just another boring eulogy
Na siwezitoka bila kuacha jina you’ll remember me
My name will live forever may our memories together be
As nice as sunny weather days
Like your energy
I’m grateful and I’m proud of me
Siamini naacha legacy mama
Vile meli inaenda ni kama
Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama
Vile meli inaenda ni kama
Ndivyo ilifaa kwenda na ka si hivyo basi meli ingezama
I’m gonna conquer the world with my guitar
Na Bado, Na Bado
Mama najua siku moja nitakua Star
Na Bado, Na Bado
I will be your Star
Najua siku moja nitakua Star
Na bado, Na Bado
I will be your Star
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/RXZ

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен