Your love and your mercy endure forever
Leo, Mpaka Milele
Yakiinuka mawimbi
Na dhoruba zote kali
Na nikikanyaga mavumbi
Bado unanihifathi
Haya macho hayaoni
Unayoniwazia mimi
Na bado hubadiliki
Unatimiza ahadi
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele
Umetenda
Utatenda
Kulingana na ulivyonena
Neno lako ladumu leo mpaka milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele Milele
Mpaka Milele (Mpaka Milele), Milele (Milele)
Mpaka Mille (Mpaka Milele), Mille (Milele)