Текстов песен в базе: 1 277 465
Usiseme No

Usiseme No

H_art The Band

Текст песни

Msupa karibu, keti chini Nimekawia kukuona
Oh kukuona
Sibambiki vile siku hizi kuna vile umekua ukinitoka
Ukinitoka
Ukiniona mtaani vichochoroni wewe huyo unapiga kona
Unapiga kona
Nieleze kama ni napenda ama ni ukweli ninavoskia eti umechoka
Oh umechoka
Na kile unataka mi nitadu
Ili niwe nawe kila siku
Mapenzi tele mchana na usiku
Usiku, usiku
Na kile unataka mi nitadu Baby
Ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na
Usiku usikuu usikuu
Eeeeh
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
(Repeated)
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
Unanistalk Instagram unanihate si the same
Mama mboga anashangaa kwani niliwacha kuja kukopa mboga
Mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea
potelea potelea
Mabeshte wanakuulizia nashindwa vile nitawaelezea kule wewe ulikopotelea
potelea potelea
Na kile unataka mi nitadu
Ili niwe nawe kila siku
Mapenzi tele mchana na usiku
Usiku, usiku
Na kile unataka mi nitadu Baby
Ili niwe nawe kila siku mapenzi tele mchana na
Usiku usikuu usikuu
Eeeeh
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
Natamani tukue poa, nieleze kama nimenoa
Ili kwako niweze rejea, usiseme no no no
(Repeated)
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
No no, usiseme no, Nooooou
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/3pz5

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен