…Afraid to tell him how she feels
She silently whispers to herself
.Afraid holding her breath…
maybe he might hear her. see he doesen’t feel the same way maybe …
H_ART THE BAND… LADY JAYDEE.
Nikaja kupenda na moyo wangu wote binti huyu aliyefanya nimuote usiku na mchana
nikawa nikama nimepagawa sionekani popote
Nikaja kutenda mambo mengi magumu na mazito ilimradi niwe naye lakini sasa
ninapotazama naona kwamba niliachwa upweke …
Nilikua na wingi wa mahaba nilikupenda kinyama kukutenda sikuwaza kamba nikakaza
Lakini huonekani mpaka sasa (x2)
Rosella (ninajiuliza)
Rosella (je umebadilika)
Rosella (nashindwa kuamua… aaaa)
Ni kweli niliamua kuondoka nikidhani nitapendwa niendapo hakunaaa
Oooh nilidhani nitakuta tofauti hiyo yote mpaka sasa sijaaaonaa…
Moyo waniuma… nikikumbukaaa…
mambo mengi wewe ulikosea.
Najiuliza je ni kweli umebadilika
ama maumivu ninayarudia masikini nashindwa amua… oooh nashindwaaaaa…
Rosella (ninajiuliza)
Rosella (je umebadilika)
Rosella (nashindwa kuamua… aaaa)
Yaaniii… imekua siku nyingi sana hatujazungumza SMS zangu hurudishi Please
call me zangu hunijibu simu zangu hushiki
Na najua haiwezi kua ni simu ulipoteza
Juu social media nmeona selfie zako na ile top flani kali nlikubuyia ya dashiki
Ukweli nikukumiss nmekumiss tena sana
na najua umenimiss unanilenga tu juu tulikosana
Ego yako ilkua juu ulikua dem wa maringo lakini siteti nlikupenda tu hivo hivo
Yaani tangu utoke stress iko juu tu sana
sura imejaza tu ma-wrinkles.
kila time najipata nimekasirikia tu vitu simple simple
Ata jokes na ma people nacatch
wao wakishow tu ma dimples
Walisema kosa si kosa. kosa ni kurudia kosa na unajua ulikosa lakini huwezi
kubali ulikosea nshakuzoea ni sawa tuu nishakusamehea una act selfish but
kuishi bila wewe machozi.
mi siwezi yaani kukula kwa hoteli si wajua mi ni mlazy
Malkia smile tamu cresent shape ya mwezi
sipendi tukikosana napenda tukichora saba kwa saba love heart wajua nakupenda
tu sana
pamoja tembea…
Dar .Arusha.tunajirusharusha. spending karibu Dolce. Gabbana mwanaume si unajua
ni kujikaza spaghetti. crop… 9 months later baby shower na pamper love
imeshika rada first born anakaribisha brother
Twende nyumbani nikuintroduce kwa matha… Ras ashapata patner…
(ruudi nyumbanii)
Rosella (ninajiuliza)
Rosella (je umebadilika)
Rosella (nashindwa kuamua… aaaa)