Sumaku
Jux
Shawty badder She got me high kama beat ya S2kizzy
Nisipomuona sekunde nammiss Najiuliza amenipa ninii?
Kila stori ninayopiga ye ndo mada Nangombana kabisa
Wakimdiss Na kuumia kwa moyo nahisi Najuliza amenipa niniii?
Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna
Kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu
Mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa sitaki
Sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu
Mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti Belong to you
Belong to me beiby Ananivuta vuta kama magneti Duu na duu na
Duu na duu beiby Ananivuta vuta kama magneti Yeah yeah yeah…
Ananivuta vuta kama magneti I do, I do, I do, ooh yeah Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Beiby please, Tell me you want more What you like about the feeling?
Honestly, I wanna show you Am feeling you too Lemmi take you to a
Nice place Tuzime taa Nivute nikunase, utashangaa Nikupe vitu vyote
Upate raha Am caught up in you And am tempted to stay up For sure
Nipepee (oooh beiby) Nikikuona nazubaa (oooh beiby) Ooh beiby (oooh
Beiby) Ninapandwa na kichaa (oooh beiby) Namkunja kabisa kama kambare
Nashinda kabisa sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa
Mungu, mtoto wa kipare Namkunja kabisa kama kambare Nashinda kabisa
Sitaki sare Hakuna kunguri mambo ya chare Mtu wa Mungu
Mtoto wa kipare Ananivuta vuta kama magneti You belong to me
I belong to you beiby Ananivuta vuta kama magneti I do, I do
I do beiby Ananivuta vuta kama magneti You belong to me
I belong to you beiby Ananivuta vuta
Kama magneti I do, I do, I do for you Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Sumaku!
Anatuvua Kila akitupa nyavu (
Anachukua) Aah visenti vyetu vyote (
Anatuvua) Aah mama kila akitupa nyavu (
Anachukua) Hatutoki eeh (
Anatuvua) Aah-ah akitupa nyavu (
Anachukua) Yaani visenti vyetu vyote (
Anatuvua) Mama mama ma.(
Anachukua) Yeee ye ye ye ye