Текстов песен в базе: 1 277 498
Fimbo

Fimbo

Jux

Текст песни

Kwanza kabisa thanks to the lord
Uzuri wako sio wakudownload (wakudownload)
Unanishangaza kilasiku misichokiii
Mwingine kama weee misiktakiii
Bridge:
(Tulu tulu tulu…)
Wewe ndo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mamy
Nikuweketu kabisa ndani
Kwangu wewe ndo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mamy
Niwewe tuu tuu baby wewee
I give you everything X3
Nitafunga moyo sitoki funguo nikukabizi wee
Nitakupa muda wangu na notii, chochote unachotaka wee
(hayayaaa ayaaa…)
Unarangi ya chocolate magnetic romantic
Jinsi ulivo humble baby so sex wananivuta zaidii
Kurudi nyumbani late misitaki
Sababu ninawivu moyoni ukiwa mbalii
yeee
Bridge:
(Tulu tulu tulu…)
Wewe ndo fimbo yangu baby
Ongeza raha zaidi mamy
Nikuweketu kabisa ndani
Kwangu wewe ndo burudani
Wewe kiboko yangu baby
Ongeza utamu zaidi mamy
Niwewe tuu tuu baby wewee
I give you everything X3
Nitafunga moyo sitoki funguo nikukabizi wee
Nitakupa muda wangu na notii, chochote unachotaka wee
Univuraga vuruga eh…
Yani mikwako sisiki baby
Univuraga vuruga eh…
Unanichanganya changanya
Univuraga vuruga eh
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/6csB

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен