Текстов песен в базе: 1 278 222
Mama

Mama

Petronilla Ayuma

Текст песни

Uliyalea maisha yangu
Upendo wako kwangu ulikuwa mkuu
Milele daima ulikuwa kwangu
Hata kama uliondoka haraka
Mkono wako ulinifuta machozi
Mdomo wako uliniimbia wimbo
Ulinituliza kifuani Pako
Nikalala mikononi mwako…
Malkia wangu dunia yote hakuna kwewe (*4)
Mbingu zilipo nigeukia kijivu
(When the sky turned grey)
Wakati mwingi nilikuwa taabani
(Most of the time i was in trouble)
Ulikuwapo daima kunifariji mimi mama…
(You was there always to comfort me)
Ulinifunza like kitu nikajua
(You taught me everything i know)
Nami nikaweka salama ndani yangu
(And i kept it safe in me)
Upendo wako kwangu ulikuwa kama miyale ya nyota…
(Your love to me was like the rays of a star)
Kuniangazia dunia yangu vikali… mama.
(To shine bright on my world)
Asante malkia wangu Africa nzima…
(Thankyou my African queen of Africa)
Malkia wangu dunia yote Hakuna kama wewe (*4)
Nimetafuta kila mahali nimetafuta dunia yote
(I have searched everywhere, I have searched the whole world)
Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe…
Kwenye vikundi vya wa mama, sijaona wakulinganishwa.
Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe…
Mwenye mausia bora, mwenye uelekezi bora.
Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe…
Mwenye ushawishi bora, Mwenye mwenye uongozi bora.
Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe…
Malkia wangu dunia yote hakuna kama wewe…(*4)
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/5z76

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен
Все тексты песен на сайте размещены пользователями, редакцией или собраны из открытых источников.
При копировании материалов ссылка на сайт обязательна.
Связаться
Уважаемые обладатели прав на музыку! На сайте не выкладывается музыка, ее нельзя скачать, послушать и тому подобное.