Текстов песен в базе: 1 278 222
Roho yangu

Roho yangu

Dena Mwana

Текст песни

Sijuwe nitete ye je
Kwani maneno ya mimenipita aah
Nguvu na Ukwabwa wa pendo lako
Huwezi ku pimwa
Hujuwa niya zangu uuh
Baba hujuwa uga wangu ouuh
Maneno yangu machache kukueleza
Upendo wangu kwako
Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Aaaaaaaah
Aaaaaaah ouh aaaah
Sasa kama nvuwa
Maneno yangu yangu tiririka aah
Ninge Kuwa na minugu mikononi mwangu
Singeweza kusema
Ila ndani ya roho yangu ooouh
Baba hujuwa yote eiiii
Aksante kwa maisha ukweli njiya
Baba ubarikiwe
Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Sikiliza roho yangu baba
Moyo wangu hukuimbiya
Sikiya nyembo ya upendo ooouh
Wa mutoto uliye mkombowa aah
Nita chukuwa maneno yangu mabovo
Kutangaza ukubwa wako
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Humm
Kwa kweli siwezi
Kusema chochote
Baba sikiya Roho Yangu
Baba baaaaaba
Baaaaaba baaaaaaaaaaaaaaaa
Baaaaaaaaa ah
Baabababababa
Kweli siwezi
Kusema chochote eii
Baba wangu
Babaaa
Kwa kweli siwezi
Sema chochote
Sikiya Roho Yangu
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/5gq3

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен
Все тексты песен на сайте размещены пользователями, редакцией или собраны из открытых источников.
При копировании материалов ссылка на сайт обязательна.
Связаться
Уважаемые обладатели прав на музыку! На сайте не выкладывается музыка, ее нельзя скачать, послушать и тому подобное.