Текстов песен в базе: 1 277 500
Jibebe

Jibebe

Diamond Platnumz Lava Lava Mbosso

Текст песни

Jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebe
Si ujibebe bebe
Oya jibebe bebee
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebe
Si ujibebe bebe
Asa wee ngoja niji set
Si walisusa nakula
Fanya wainama isha rotate
Tuwakunjishe na sura
Leo shimo limetema
Nimeshinda bet (shinda bet)
Tuwaoneshe sinema wakina fetty
Asa njo njo (I like it)
Unasachantogo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kono la sojodo (I like it)
Baby njo njo njo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kifupa chokodo (I like it)
Unwa na sodojo (I like it)
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebe
Si ujibebe bebee
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebe
Si ujibebe bebee
Aaahh eeehh nataka kwenye kwa chupachu (kwa chupachu)
Kitandani mwendo kwachu kwachu (kwachu kwachu)
Nichanganye uone nowe fyatu fyatu (fyatu fyatu)
Ili penzi walikome mpaka kuna kuchaa (Chaku naku)
Eh baby sa nkololo (eeh)
Kerewa (eeh)
Haija soko soko
Ndombolo (eeeh)
Malewa (eeh)
Haija loko loko
Me kwako tokea taki love
Nawa vimbaa (vimbaa)
Uko teketeke kama bwakira
Nkude simbaa
Asa njo njo (I like it)
Unadachantogodo (I like it)
Achi nkorji nkologo (I like it)
Koni la sodojo (I like it)
Baby njo njo njo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Kifupa chokodo (I like it)
Unwa na sodojo (I like it)
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebee
Si ujibebe bebee
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebee
Si ujibebe bebee
Ooh tale nipe chuzi la chuku chuku ninywe
Bakuli zimaaaa (poleee)
Mushedede mutu kutwa zame kwenye kisimaa (polee)
Fatuma wee kishtobee
Mwite Aisha midundo eeeh
Alivyo nyodo nyodo kama kobee
Nimshindue na miuno eeh
Twende kopa kabana
Huku mwanana
Wakugandanaa (I like it)
Nimufatie banana kwakina nana
Tuki kandanaa (I like it)
Aaaah
Baby papasa kichwa jusi kafirii
Ni safishe mataro
Na ulivyo jazwa nyuma fungu mbiliii
Nyanya za sasaro
Asa njo njo (I like it)
Unadachantogodo (I like it)
Achi nkoroji nkologo (I like it)
Koni la sodojo (I like it)
Baby njo njo njo (I like it)
Achi nkoroji nkolgo (I like it)
Kifupa chokodo (I like it)
Unwa na sjodo (I like it)
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebee
Si ujibebe bebee
Oya jibebe bebe
Asa jibebe bebe
Embu jibebe bebee
Si ujibebe bebee
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/52J8

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен