Текстов песен в базе: 1 277 500
Moyo Wangu

Moyo Wangu

Diamond Platnumz

Текст песни

Le ngree ma
Took over town
Lamar
It’s a Fishcrub presentation
Diamond
It’s the Fishcrub
Ladies and gentlemen
Wasafi
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Ah ah ah!
Upole wangu simanzi eh
Kwangu kupenda maradhi ii
Lakini kupendwaga mi naye
Bahati nuaga sina
Jichoni kwangu kibanzi eh
Tena napenda kamanzi ii
Licha ya kumthamini kama shillungi
Tatizo hata raha sina
Ufinyu wa mboni zangu (ni zangu)
Unatazama mengi yanayonipa mateso
Tena hata kupenda sina raha
Na nakonda kwa mawazo
Masikini penzi langu Gina
Nilishakata na kaulia roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara eh
Mara ii hata najuta kupenda aah
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Mmmh tena!
Mmmh kutwa kucha mara oh
Huwezi kosa maneno oh
Ili mradi tu 'tara tantalila'
Mmmh sina raha
Wala sina tena mi pango
Kutwa nzima na mawazo Gina
Mmmh aaah!
Sina raha oh mama
Tamu ya wali ni nazi eh
Raha ya supu ma ndanzi ii
Raha yangu ni kupendwa tu naye
Lakini nyota sina
Na napata na radhi eh
Nawa kufuru wazazi ii
Kwa kung’ang’ana mi kutata kuwa naye
Lakini bahati sina
Masikini roho yangu (roho yangu)
Ingalikuwa ni ngu ningempa ava eh
Japo akipita wamsifie
Ila lakini ni kikwazo
Masikini penzi langu Gina
Nilishakata na kauli roho inatoka kesho
Kutwa nzima mara eh
Mara ii hata najuta kupenda aah
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Moyo wangu
Moyo wangu mama eeh
Moyo wangu mi mi
Umeniponza mama
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/52Hr

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен