Текстов песен в базе: 1 277 460
Nataka Kulewa

Nataka Kulewa

Diamond Platnumz

Текст песни

We niache niende niende, niende niende
Niache niende niende, niende niende
Uh, usiniulize kwanini, sababu utanizingua
Ukitaka jiunge na mimi, kama ni pesa we kunywa nitanunua
Mi mwanzo sikuamini, nikajuaga vya kuzua
Kumbe mjinga ni mimi, ninayetunza wenzangu wanachukua
Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Na nina mengi, ah yamenikaa moyoni
Leo nataka kulewa, lewa
Mi nataka kulewa, lewa
Nataka kulewa, lewa
Zikipanda nimwage radhi
Nataka kulewa, lewa
Mi nataka kulewa, lewa
Nataka kulewa, lewa
Zikipanda nimwage radhi
We niache niende niende, niende niende
Niache niende niende, niende niende
Mi kwa mapenzi maskini, nikamvisha na pete kwa kumuoa
Kukata vilimi-limi, vya wazushi wanafiki wanaomponda
Kumbe mwenzangu na mimi, ni bure tu najisumbua
Si tuko kama ishirini, mabuzi ving’asti wengine anawahonga
Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Mie siwezi, walionikuta waniache nisemee jina
Oh mapenzi, (mapenzi) yalinifanya kama mtoto nilie vibaya
Na nina mengi, ah yamenijaa moyoni
Leo nataka kulewa, lewa
Mi nataka kulewa, lewa
Nataka kulewa, lewa
Zikipanda nimwage radhi
Nataka kulewa, lewa
Mi nataka kulewa, lewa
Nataka kulewa, lewa
Zikipanda nimwage radhi
We niache niende niende, (kulewa, kulewaa) niende niende
Niache niende niende, (kulewa, kulewaa) niende niende
(Kulewa, kulewaa)
(Kulewa, kulewaa)
(Kulewa, kulewaa)
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/52Hk

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен