Текстов песен в базе: 1 277 460
Mawazo

Mawazo

Diamond Platnumz

Текст песни

Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana
kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo
(Vearse one)
Sikujua mapenzi balaa tena ni maladhi ya moyo kupendaga…
Tena mapenzi karaha yanajenga chuki na choyo kwenye kava…
Utu wangu unathamani inamaana kweli hakuvijua!
Licha ya burudani namapenzi yangu akayatimua
Utu wangu unathamani inamaana kweli havijuaa!
Mmmh! Licha ya burudani ndani akaamua kutimuaah! (Inauma sana)
(Chorous)
Ningekuwa na uwezo ningekunywa hata pombe ili nipunguze mawazo, maana mchana
kutwa hata usiku silali mapenzi kwangu kikwazo. (rudia kuimba mara mbili)
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani naumia nalia na moyo wangu…
Ona jini kisirani kaingia kwenye utamu wa penzi langu
Ameleta tafarani mwenzenu nalia na moyo wangu
Kweli wivu me ninao na roho yangu inaumiaa
Kweli wapenda nao ndo maadui zikitimia!
Lile tunda langu la mara leo limekuwa sumu kwangu
Ona tena sina raha me nacheka nalia na moyo wangu
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/52Hi

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен