Текстов песен в базе: 1 277 323
Ebenezer

Ebenezer

Angela Chibalonza Muliri

Текст песни

Ebeneza lang’a, libanga nangai ya tala
Ole kidya mape wolo papa ee kati na bomoyi nanga
Nzambe na kumisio, mokote ko nani nayo
Bisika nako milele o yahwe, ezali sela makasi nayo
Ninataka Ebeneza, nijenge juu yako (I want to build on you Ebenezer)
Ninataka Ebeneza, uwe msingi yangu (I want you Ebenezer to be my foundation)
Jiwe langu la pembeni, nakutamani sana (My cornerstone, I desire you so much)
Jiwe langu la thamani, nakuhitaji sana (My valuable rock, I need you so much)

Ebenezer ni jiwe langu, jiwe langu la msingi (Ebenezer is my rock,
my cornerstone)
Mahali nimefika leo, Ni kwa ajili yako ebeneza (Thus far I have come,
is because of you Ebenezer)
Mawe mengi yako hapa chini ya jua (There are a lot of rocks under the sun)
kuna dhahabu, kuna almasi Kuna mawe hata sijui majina yake (There is gold,
there is diamond, and others I can’t name)
Lakini hakutawahi kuwa jiwe kama ebeneza (But there will never be a rock like
Ebenezer)
© 2017–2024 Тексты песен