Baby
Grace Matata
Текст песни
Naichora sura yako mawazoni, Naona mtoto mzuri wa kufanana nami
A baby to hold into love, Sauti yako kila siku naitamani
Naahidi kuwa mama mzurii, Wa kukusomea hadithi na Zaburi
Bibi yako amenilea mi vizuri, Na we fursa hii unastahili
Sichoki kujiuliza, We wa kike au wa kiume
Ndoto nilo ota, imefanya nijitume
'Ti umezaliwa umekua, Umeenda shule
Umerudi nimelala, Ukapika ukanamsha tule
Baby… Baby Iiiiiiih
Baby… Baby Iiiiiiih
Usiku wa manane, naongea na tumbo langu
Nongea na wewe, Furaha ya moyo wangu
I wish for you a heart of love
I wish for you a heart of Joy
I wish for you to arrive
First your head, Then your toes
Sichoki kujiuliza, We wa kike au wa kiume
Ndoto nilo ota, inafanya nijitume
Eti umezaliwa umekua, Umeenda shule
Umerudi nimelala, Ukapika ukanamsha tule
Baby… Baby Iiiiiiih
Oooh Baby… Ooooh Baby Iiiiiiih
Mikono yangu iko tayari kukubeba
Midomo yangu iko tayari kukubusu
Sauti yangu iko tayari kukuimbia
Nyimbo za furaha (Kwa Furaha), Na hisia Ahhh
Baby… Baby Iiiiiiih
Ohhh Baby… Ooooh Ooooh Baby Iiiiiiih
Ooooh Baby.
Тексты других песен исполнителя
© 2017–2025
Тексты
песен
Все тексты песен на сайте размещены пользователями, редакцией или собраны из открытых источников.
При копировании материалов ссылка на сайт обязательна.
Уважаемые обладатели прав на музыку! На сайте не выкладывается музыка, ее нельзя скачать, послушать
и тому подобное.