Текстов песен в базе: 1 277 465
Pombe Sigara

Pombe Sigara

Nviiri The Storyteller

Текст песни

Oh, ooh, pombe sigara
Naweza wacha bila kung’ang’ana
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana
Ooh, Sol Generation
I’m the storyteller, eh, ah, eh
Ooh, Lord
Nasikia walevi huota na beer
Lakini kuna siri nitawaimbia leo
See I’m not addicted to alcohol, I’m not a victim, not at all
Yalimpata Samson, yakampata Solomon
Situation hugeuka tricky, kila shimo napanda miti
Contribution kwa team mafisi Karura
Ayy, situation hugeuka tricky, kwa hivyo
Msiniweke kamba kwa shingo
Pombe sigara
Naweza wacha bila kung’ang’ana
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana, ah
Somebody is cool and not fine
Tell them that’s how we tell a heart’s gone down
Eti alivunja shingo akalemewa, akatoa fimbo nje ya ndoa
Na hivo ndivo alijichomea
Ayy, situation imekuwa tricky, kuna shimo alipanda miti
Na hivi sasa ako Kamiti, kwa jela
Ayy, situation hugeuka tricky, kwa hivyo
Msiniweke kamba kwa shingo
Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung’ang’ana, ah
Lakini hawa wasichana
Vile nawapenda, ni kama laana, ah
Ooh, yeah, yeah
Pombe sigara, ah
Naweza wacha bila kung’ang’ana, ah
Lakini hawa wasichana (maze)
Vile nawapenda, ni kama laana, ah
Ooh, yeah, yeah
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/6Xsx

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен