Kuna kadem, mi hukapatanga kasawa
But sijawahi mwona bila weave, yawa (Next)
Huyu mwingine huni-text by the hour
Si kwa ubaya, but the boy asha-tire (Next)
Pata dem ako flat vi-excess
Mko same mkivalia ma-vest (Next)
Niko on na singedai hizo, msee
To the left, to the left, that’s West (Next)
Si vibaya, ma-time kuwa unalewa
But kumbuka pia bado hujaolewa (Next)
Hatukatai, sura ulipewa
But pande ya tabia, ubaya, hewa (Next)
Ni nani ule kando ya meza?
All-natural, amegusia tu make-up
Aki ya nani, si anatesa?
Pigia mzazi umwambie nimependa
Ugh, lakini analenga
Nime-try kum-halla but bado analenga
Na vile ameweza
Anyway, onto the next one
Next
Nimesema next (Ah, ah, cheki)
Who’s next?
Who’s next?
Next (May the next patient please…)
Next
Who’s next?
Next
Nimesema next
Akinicheki, anapiga mahesabu
Ni kama ye ni mwalimu wa thafu (Next)
Anaringia ugali na managu
Na home anakulanga sembe kavu (Next)
Alinisho, «I don’t do matatus»
Kidogo amalize sole za viatu (Next)
Jana nimemtumia fare kaa mara tatu
Na bado hata hajafika kwangu (Next)
Kwa Instagram ameweza, but in person
Vitu huwa different kwa grao (Next)
Bila make-up anakaa kaa brother yangu
Asipopaka, nitaambia nini watu? (Next)
Ni nani ule kando ya meza?
All-natural, amegusia tu make-up
Aki ya nani, si anatesa?
Pigia mzazi umwambie nimependa
Ugh, lakini analenga
Nime-try kum-halla but bado analenga
Na vile ameweza
Anyway, onto the next one
Next
Nimesema next (Ah, ah, cheki)
Who’s next?
Who’s next?
Next (May the next patient please…)
Next
Who’s next?
Next
Nimesema next