Текстов песен в базе: 1 277 465
Nani

Nani

Ibraah

Текст песни

Mmmh yeah
Mmmh
Yeah, (Moko)
Asubuhi kumekucha
Wingu limetanda
Na mvua yata kunyesha
Na uko mbali Mama
Maji takitirika
Ooh baridi itanishika
We ndo chanda chema
Uhakika unanitatisha tamaa
Utaambiwa binadamu
Ah kila mmoja ana mapungufu yake
Sijui nilipoteleza Mama
Si ungenambia
Nime miss tabasamu
Kutwa kucha
Picha kumezea mate
Yangu fimbo umeibezea
Ah katu hautaki kuitumia
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/Qf9

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен