Текстов песен в базе: 1 277 465
Mafunzo ya dunia

Mafunzo ya dunia

Sauti Sol

Текст песни

Mafunzo ya dunia
Niishi ni ose
Nisote nikope
Nipate ya wote
Utatembea pengi
Na macho ni mingi
Sikio ni mbili
Tumia akili
Uwe wa kwanza
Usiwe wa pili
Maisha si movie katika hizi enzi
Oooh dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwako hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia ya dunia mbona hukunipa penzi
Mimi nina shangaa (aaaaah)
Mimi nishangaa Nilifanya nini
Ili niishi ivi
Maisha yangu yangu duni
Naimba hii mziki nipate riziki
Mwisho nitanawiri niendeshe mercedes
Nitangaa shida za dunia niziache nyuma niendelee
Dunia mbona hukunipa penzi
Maisha haya kwangu hapa ni magumu
Ninavumilia mwisho nitajivunia
Ya dunia mbona hukunipa penzi
Mimi ninashangaa (aaaaaah)
Mimi ninashangaa
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/Nxm

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен