Текстов песен в базе: 1 278 222
Baki Na Mimi

Baki Na Mimi

Leteipa the king

Текст песни

Ni vampK 254. Mhhhhh
Kukutazama, Ukitabasamu
Nikama kuwatch movie za afro, siwezi boeka
We ndo kitabu, Mi ndo kalamu
Niliumbwa kwa ajili yako, Kama masai na Rubeka
Ninatamani ningewa yako mavazi
Nikusitiri nikuguse Kila wakati
Ungewa stew ama kasupu ka mbaazi
Ningewa sembe Mokimo ama chapati
Hook
Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie
Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie
Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie
Kamba za viatu babe, mi nikufungie
(Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani
(Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba, utakopa ntalipa mama
(Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani
(Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba, Utapona nna tiba mamaa
Nakama ungewa, mwanasiasa, ninge piga kampeni zako
Nikusifie, kwa giza na mwangaza, mpaka kwa maadui zako
Nitakubusu bila woga hadharani
Ili wajue wewe ndo wangu mwandani
Ungewa kijiko lazma ningewa sahani
Kututenganisha Hilo haliwezekani
Hook
Baki na Mimi kipenzi, nikushughulikie
Kila asubihi, nirauke, ili nikupikie
Nikuogeshe, nikuvishe, mpaka uvutie
Na ukichoka, nikubebe, wivu wasikie
(Baki namimi) ntangangana nikuwe chochote unachotamani
(Ooh Baki namimi) nitakonda utavimba, utakopa ntalipa mama
(Baki na Mimi) naapa kukutunza kuliko wako wa zamani
(Ooh Baki na Mimi) ukisota ntaiba, Utapona nna tiba mamaa
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/6QiL

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен
Все тексты песен на сайте размещены пользователями, редакцией или собраны из открытых источников.
При копировании материалов ссылка на сайт обязательна.
Связаться
Уважаемые обладатели прав на музыку! На сайте не выкладывается музыка, ее нельзя скачать, послушать и тому подобное.