Текстов песен в базе: 1 277 465
Rhumba Japani

Rhumba Japani

Bensoul Nviiri The Storyteller Okello Max Sauti Sol Xenia nhp

Текст песни

Kuna rhumba ya Juja
Na ni ya maboy
Ukisaka mitumba
Enda rhumba ya Toi
Kuna rhumba ya Kibich
Utajua hujui
Kuna rhumba for all you niggas
Ila rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba ya state house
Iko chini ya maji
Kuna rhumba ya bunge
Ya majambazi
Ukileta ujinga
Utalala ndani
Kuna rhumba for all you niggas
Lakini rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi, tumezungukwa na shisha
Na shashamani, mapochopocho na vinywaji
Mbali mbali, wengine wanatapika
Wakizirai
Hapa ni wapi, wanatutwanga mapicha
Kipaparazi, tumezungukwa na warembo
Geti kali, tunazitoka na style
Za kizamani
Kuna rhumba ya Westy
Ya mabeshte
Wa mashinani
Sheki your waiste
Rhumba ni nyepesi
Isikue kesi
Kuna rhumba for all my niggas
Ila rhumba Japani ndio rhumba
Kuna rhumba Karura
Ya kupanda miti
Ukiwa Koinange
Hakunaga risiti
Rhumba Oyole
Hio ni ya mangwati
All of my hoes and all of my niggas
Rhumba Japani ndio rhumba
Hapa ni wapi, tumezungukwa na mabouncer
Kama chwani, kuna mapedi mapoko
Pia mapinji, na wanaseti Michele
Kwenye vinywaji
Hapa ni wapi, kuna visanga vioja
Mahakamani, wapenzi wapigana
Mate hadharani, wengine wanatekana
Nyuma ya taxi
Nitie rhumba obunga
Mano mar jothurwa
To kidwa bilo mbuta
Rieri yo manyata
Yawuoi orwaka akala
To nyiwa ondiso avunja
Kuna rhumba for all you niggas
Lakini rhumba Japani ndio rhumba
Aaaaaaah
Sol Generation you know
Hii shit imeniweka zone, inatamba
Hapa ni wapi, waheshimiwa wako nje
Kwa foleni, na raia wako ndani
Wajivinjari, wanazitoka na style
Ni za kiodi
Hapa ni wapi, mawochi wote wameleta
Utiaji, wakafungia wakubwa
Nje ya party, wakawachia ofisi
Wafanyikazi
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/5V1E

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен