Hodi kwa mama mtoto mkorofi
Acha nikuambie ka unataka kuona machozi
Ya mtoto mchokozi
Itabidi uongeze pilipili kwa biriani
Otherwise, ka si hivyo wanachama hatuliangi
Hatutulianga
Na ndukulu ni bangi
Na ina harufu mbaya na inaudhi majirani
Lakini haidhuru ni sawa
Acha wahamie mashinani ka inawadhuru vibaya
Yooo!
Hey!
Zinatubastia ka bomb bomb kwa corner
Mi na squadi iko chrome
Na macon men na wakora
Wana Diploma zakufungualisha Grogon ma Corolla
The Boredom mnasorora
Vile hamna Talent, so mmegeuza game Sodom na Gomora
Vuta hiyo trouser juu wacha kutuonyesha tako
Vuta hiyo Mini Chini unamwaibisha mamako
Ka unatafuta ule anajua kupika uji
Sio kupiga picha uchi
Unfollow Nyako follow nyanyako
Ukitaka nyama hapa sawa chief
Hii butchery tunaita
Usiwahi blunder na beef
Na si huangalia ni ka skanga
Bonga shit unatandikwa ka
Kitambaa, bedcover ama handkerchief
If your God is money
Then you’re poor to me
I have a feeling
You are not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery
I’ve been a winner
Msiniweke gasoline
Na bado hamjazima moto niliwasha '03
Na kam na (finyo)
Macho macho (finyo)
Ndivyo tuna (finyo)
Pasito na (finyo)
Mwendo tuna (finyo)
Mwenye tuna (finyo sana)
Be ready for the world
Is it ready for you?
You waiting for your girl
Is she waiting for you?
Uliskia type yako hu like mabachelors
Sijui kama ni true
IG bae ni yule Carpenter
I feel ka ni true
Ah-ah
Ni reasoning si umang’aa
Ujinga ndo si hukataa
Sacrifice ni kuifanya
For family sio chapaaa
Greatness ni kuamkia
Legacy sio chapaaa
Siwezi kuwa juu ya thao
Ka Kwangu thao sio chapaa
My apartment is in Amsterdam
Certified Rastaman
Aki sometime na hang
I feel like Am Sadam
I feel like am the best
Me kumake Man impress (Zii)
Kufake Hapiness (Zii)
Me ni m merciless
Am Ill
Na nitawatesa until
Mkubali kesi
Ka sitaku Impress na skill
Ni pamba freshi
Ukidai tuingie commercial still
Na kuwanga messy
Prepare kuingia kwa battlefield na mwanajeshi
Hii ndo inaitwa One shot kill
Na feelingi fiti
Nikiwamada ki action film
Na believe hii muziki itanibuyia mansion still
Na…
If your God is money
Then you’re poor to me
I have a feeling
You are not who you pretend to be on IG
Kutoka nursery
I’ve been a winner
Msiniweke gasoline
Na bado hamjazima moto niliwasha '03
Na kam na (finyo)
Macho macho (finyo)
Ndivyo tuna (finyo)
Pasito na (finyo)
Mwendo tuna (finyo)
Mwenye tuna (finyo sana)
Mwanaume aseme hii shamba siwezi lima
Nakam na plough mbili
Hiyo ingine ni ya finyo pekee (hahaha)
Niko na issue ikiwa juu yangu kama sio kofia
Kwa ma issue za vitabu za historia
Jina yangu watoi wako wataisoma pia
Ata ka utadedi ukisema hukuwahi niskia
Nishakuskia kila year ukilia utarun next year
Si this Year pia ilianza ukilia «Walai this year!»
Next year nitakuhit niko high ju niko Hai this year
Sitakuwa Hai Next year ka Nitakuwa High next year
Excuse, excuse me!
Please sorry thank you!
Mission Imposibble!
Kifo ni ngori jo!
Na isikupate ukitry too hard to be perfect
Sometimes jipe ruhusa tu kuwa ratchet
Smile ka bado hujapita budget
Na ka umepita ficha shida chini ya carpet
Inapiga! Inapiga! Kushinda earthquake
Inapiga! Inapiga! Kushinda earthquake
Watu na race nao wameshindwa kushusha handbrake
Uhunye na Rao wamepiga Handshake!