Текстов песен в базе: 1 277 465
Aminia

Aminia

Nyashinski

Текст песни

Yeh!
Niko hapa kuwapa muziki mzuri wako hapa tu kuwa famous
Ama juu waliskia ma-rapper hupendwa na madem, bas'
Wanajiita lyricists, kwa hizi interviews -na mimi tu ndio nimetoa lyric video
ika hit a million views- how?
Ati Nyash hii area si ulikam na ubaya
Iko watu husema heri hata ungekwamia Ulaya
Umerudi wasanii wakaanza kuambiwa «retire»
Secular lakini unaandika gospel fire
Si live a lie, najua n’ta-sound kama niko ma drei but juzi walai
Nilipanda matatu na Trey na siuzi mayai
Nimetoka mbali aisee na siishi Rongai
TRUE STORY
Klepto si mtarudiana lakini
Hatujai achana tunaruadiana kwa nini
Na machali wa Inshalla mi name na hawa vijana wawili
Tutazidi sana kando na kukosana niamini
Tusipimane akili mi nina kichaa
Waambie waache kujichokesha ulimi mi ndio teacher
Enyewe manze wataacha lini, kujichocha ju ni clear tukisimama hao na mimi mi
ndio mna-prefer
AMINIA! Oh nana nana na na na na
AMINIA! Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA! Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
Ah ah ah ah ah YEH
AMINIA (X3)
Kuna tenje yangu fulani heri ibaki mteja tu
Au nkitoka niachange kwa keja tu
Najua ikilia ni mtu anataka favour tu
Kila converstation ni ka Deja Vu
Maisha imejaa na watu fake si uongo
Na visu zakunidunga n’kiwageuzia mgongo
Washa sense ntakafunga so wananyemelea
Siezi afford kumwaga unga najitegemea
Sieki imani kwa binadamu mimi
Naeka imani kwa God si kwa sanam mimi
Ah, ka s’kupendi s’kufichi
No pretending hata simu zenu mi sishiki
N’kuwe pissed kwa nini, siko pissed niamini mi niko bied
Na go through vitu real ka nyinyi mimi pia
Maybe tu argue beats au beer situezi argue ati iko rapper anatoa hits ka mimi
AMINIA
AMINIA
Oh nana nana na na na na
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
AMINIA
Oh nana nana na na na na Eh
Ah ah ah ah ah YEH
AMINIA (X3)
Philosophy yangu ni Don’t worry chema chajiuza
Sijieki na Don Larry ama Martin Luther
Nani huyo CNN wana interview, sio mimi
Nkianza hii kitu ni watu wa few waliamini
Nabii hakosi heshima is’pokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Nabii hakosi heshima is’pokuwa kwa nchi yake
Kwa jamaa zake na nyumbani mwake
Hii ni ya kila mtu uliza ka anapenda rapper akaniambia ako 50−50
Kila mtu ana consider kuingia hii biz ya mziki but ameambiwa ati muziki hailipi
Ka uko hapa juu ni passion bas' si kazi hata
Ka we ni rapper juu ni fashion hatukutaki hapa!
Hii ni ya msanii yule anahangaika na guitar anaimba for free
Na ataendelea hata ka anajua hata hajalipwa
YEAH
Hii ni kwa mtoi yeyote ako na dream
Siku moja joh niwewe wataita KING
Jione umpanda stage na umeshika
Usiwai sahau mahali umetoka juu umefika Aminia
S’choki, s’choki, s’choki
Style mingi kushinda menu ya kinyozi
AMINIA
Naeza fly wengine hawatoshi
AMINIA
Aminia, aminia, aminia
AMINIA
Ah ah ah ah ah aye
AMINIA (x3)
Oh, nanana
AMINIA
Поделиться ссылкой:
Короткая ссылка: https://tekstpesni.ru/s/4xVo

Тексты других песен исполнителя

© 2017–2025 Тексты песен